FIDIA TINGA MWANA WA TINGA APATA DILI JIPYAAAAAA.. !!

    Muimbaji Wa Nyimbo za Injili Kutoka Mbeya Tz Ambaye pia Ni MC na Producer Fidia Tinga Arimaarufu kama Mwana Wa Tinga au MC TINGA TINGA Amedondokea kwenye bahati ya Kuwa Balozi wa Sabuni Ya Kuogea Iitwayo OZONA SOAP jijini Mbeya .
    Mtu yeyote atakae hitaji sabuni hizo amtafute Fidia Tinga kupitia simu namba +255758787766 hapo atamueleza kuwa wapi zinapatikana .
    "Watu Watumie Sabuni hii maana nimeithibitisha kuwa ni Nzuri kuogea . Alisema Fidia Tinga"

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment