DVD ALBUM YA FIDIA TINGA MWANA WA TINGA #BINADAMU_VIGEUGEU SASA IPO TAYARI

   Ile album iliyo subiriwa takribani mwaka mzima hivi sasa ipo tayari
   Ni album ya mtumishi wa Mungu Fidia Tinga mwana wa Tinga muimbaji wa Nyimbo za injili Tz kutoka jijini Mbeya.
   Sasa unaweza jipatia nakala yako kwa kumtafuta yeye moja kwa moja kupitia namba zake zifuatazo ..
Voda:0758787766
Tigo:0679168532

   Wahi mapema kabisaaaa wakati kitu kimetoka motoni yaani chamotoooo ...
     UBARIKIWE SANA

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment