ALBUM YA BINADAMU VIGEUGEU ILIYO IMBWA NA FIDIA TINGA KTK MFUMO WA VIDEO (DVD) INAACHIWA RASMI J PILI YA WIKI HII YAANI TAR 31/07/2016

    Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu album ya Binadamu Vigeugeu ktk mfumo wa Video iliyoimbwa na Mtumishi Wa Mungu FIDIA TINGA hatimae inakwenda kuachiwa rasmi jumapili tar 31/07/2016 .
   Tukio la kuiweka wakfu na kuanza kuiuza Video album hiyo litafanyika ktk Kanisa la Moravian Ushirika wa uyole njia panda , tukio hilo litafanyika ndani ya ibaada zote mbili , ibaada ya kwanza Itaanza saa moja kamili asubuhi kisha ibaada ya pili itaanza saa NNE kamili asubuhi.
    Kikubwa Zaidi nikwamba hakutakuwa na kiingilio , chamsingi njoo na pesa ya kununulia DvD uliyo isubiri kwa hamu sanaaaa na kwa Muda Mreeeeefu Sanaaaaaa !!

    Nawatakia maandalizi mema ya kufika siku hiyo na Mungu awape uzima mfike bila kukosa .

        WOTE MNAKARIBISHWA

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment