KAA TAYARI KWA KUIPOKEA ALBUM YA BINADAMU VIGEUGEU IKIWA KATIKA MFUMO WA VIDEO ILIYO IMBWA NA MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI FIDDIA TINGA ARIMAARUFU KAMA MWANA WA TINGA


Baada ya kuzunguka location kadha wa kadha katika kuandaa video ya album hiyo hatimae sasa maandalizi yafikia mwishoni , Tunamshukuru Mungu sana kwa kututetea kila hatua tuliyo pitia tunaamini niyeye katupigania , pia shukrani za kipekee zimfikie director wa kazi hiyo ambaye ndiye meneja wa kampuni tulilofanya nalo kazi SAYUNI VIDEO PRODUCTION aitwaye Gabriel Kandonga .
Ahadi yake kwa wadau wa Muziki wa injili ni kuwawahishia kazi hii ili mkaendelee kufirahia kwa kuitazama mkiwa majumbani kwenu .
Endelea kutembelea ukurasa huu ili kujua kila hatua inapo fikia .
        MUNGU AWABARIKI SANA.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment